Riadha ni mchezo muhimu katika mashindano ya Olimpiki tangu kuanza kwa mashindano hayo mwaka 1898. Walianza kukimbia kwa kasi ya kilomita 42.2 na yalikuwa mashindano magumu ambayo yaliwataka wanariadha kutumia nguvu kubwa sana. Lakini nguvu kubwa kiasi gani? Na katika karne hii ambapo michezo imeboreshwa kwa sayansi na virutubisho, ni chakula gani kinachotumiwa na wachezaji nyota? Hebu tuone jinsi wanariadha wawili nyota ambao wanavunja rekodi ya wanawake na wanaume ,Eliud Kipchoge na Brigid Kosgei ambao wote wanatoka Kenya. Tumekutana nao wakati wakijinoa kwa ajili ya mashindano yatakayofanyika Tokyo na kuchunguza wanachokula?
Katika hii stori bonyeza uone baadhi ya vyakula muhimu ambavyo vinawasaidia Brigid na Eliud kumaliza mashindano kwa ushindi.
Riadha ni mchezo ambao unafanya mtu atoe jasho sana, hivyo tuanze kwa kunywa maji kidogo.Na hii ni Kenya ambapo kuna baridi ,hivyo chai ndio chaguo sahihi.Unapoongeza sukari utawapa wanariadha nguvu ya kuanza kukimbia.
tamu ndio inayopendwa sana na wanariadha wengi wa Kenya.Utafiti mmoja ulibaini kuwa sukari huongeza wanga katika mlo wao kamili.
Inashangaza ,baadhi ya wanariadha huwa wanakunywa chai zaidi ya maji kwenye mazoezi. Mwanariadha anaweza kunywa vikombe vitano kabla ya kuanza mazoezi
Vijiko kumi na tano vya sukari vinaweza kuwa vijiko vingi sana , lakini bado kuna safari ndefu
Ni wakati kuwapatia wanariadha wetu chakula kizuri
Chagua la kwanza ni mlo wa .Wengi wanapendelea kula ugali - chakula kinachotumika sana Afrika Mashariki.Ugali hupikwa kutokana na unga wa mahindi na hupikwa kama uji
Inawezekana kuwa chakula cha kawaida lakini wanariadha wa mbio ndefu wa Kenya wanahuhitaji ili kuongeza nguvu wakati wa mashindano.
Mjini Tokyo,hakuna chakula cha namna hiyo.Brigid anasema katika mataifa mengine hakuna ugali kama walivyozoea Kenya hivyo inawabidi wale wali, tambi au kuku na samaki.
Lakini tubaki kwenye mlo kamili kwanza, na kama sahani moja haitoshi inabidi kuongeza sahami ya pili
Ugali ni mzuri lakini bado kuna nguvu ya ziada inatumika
Kwanza huwezi kula ugali peke yake, lazima uwe na chakula kingine kwenye mlo wako
Nyama huwa inasaidia lakini tunaingia kwenye hatua nyingine
Na ikiwa nyama inaweza kuwa chanzo cha protini, wanariadha wengi wa Kenya wanapata protini hizo kutoka kwa maziwa na maharage. Hebu tuviongeze hivyo katika chakula chetu
Maziwa ni muhimu sana ,hutumika kutengenezea ambapo inawekwa na viungo vingine vya chai. Hivyobasi tunawapa wanariadha wetu vikombe viwili vya chai ya maziwa yenye tangawizi.
Eliud anapenda maziwa yaliyochachuliwa kiasili. Mursik! ni Maziwa ya mgando. Ni muhimu kwa wanamichezo. Unapokunywa yanaongeza kasi ya kusaga chakula mwilini , anasema.
Kwa upande wa maharage, maharage yanaweza kulika vizuri na ugali. Na huongeza idadi ya kalori zetu mwilini kwa 120 .Usiamini bado tuna upungufu ! leteni viazi pia
Wanariadha maarufu wa Kenya huwa wanakula wali, viazi na mikate. Yyakula hivyo kwa mfano huwapatia robo ya kalori zinazohitajika. Lengo ni kuwapatia nguvu wanariadha wakati wa mashindano.
Hebu tuone tutakachopata kutoka kwa sahani mbili za wali na sahani moja ya viazi vitamu vya kuchemshwa
Je hicho kinaweza kumpatia nguvu za kutosha mshindi wetu wa kike katika mashindano?Ndio
Brigid alitumia takribani kalori 1,666 wakati aliposhinda mbio za Marathon za Chicago
Yaani aliweza kutumia saa 2 na dakika 14 tu kumaliza mashindano.
Na sasa turudi kwa Eliud Kipchoge.Yeye ni mzito na mkimbiaji wa kasi zaidi ya Brigid, hivyobasi anahitaji nguvu zaidi ili kuweza kumaliza mbio hizo.
Tumpongeze kwa kumuwekea viungo katika chakula kupitia kumuwekea mayai ya kukaanga, kabeji na mboga za majani.
Na sasa tunafikia hatua nyingine.Tukiwa na mayai mawili na mchanganyiko wa mboga tumefanikiwa kurudisha kalori 260 kwa Eliud
Viungo muhimu hapa ni mboga zinazopatikana eneo hili. Tukianzia na Spinachi inayochanganywa na viungo vingine
Pia kuna wiki ambayo inafanana na Kale na ni maarufu Afrika Mashariki
"Huwa hatununui mboga kutoka dukani. Vitu tunavyopanda katika eneo hili ni Spinachi na kabeji. Kwasababu ardhi yetu ina virutubisho na hatutumii kemikali", Brigid aliambia BBC
Karibu tunamaliza! Labda tutahitaji snaki baada ya kumaliza kula
kama mtu mwengine yeyote , hata wanariadha maarufu uhitaji Snaki . Na kinachotumika sana ni matunda.
"Mimi haswa huwa napendelea kuwa na matunda tofauti tofauti" Brigid anasema " labda leo nile ndizi, kesho nile tikiti maji, siku inayofuata chungwa na baada ya hapo maembe".
Alisema anapenda pia kunywa soda
Kwasasa tusalie kwenye upande wa kiafya, anakula ndizi yenye uzito wa kalori 100
Uwanja unasimama na kumshangilia! Hatimaye tumefikisha kalori 2322, idadi ya nguvu ambazo Eliud alipoteza wakati alipovunja rekodi mpya 2018.
Na alitumia chakula alichoshauriwa cha wastani wa kalori 2500 na kuweza kushinda kwa saa 2 dakika moja na sekunde 39
Tazama ili kuona anavyojipatia kalori zote hizo pamoja na carbohydrates
Wote Eliud Kipchoge na Brigid Kosgei wanashiriki katika mashindano makubwa ya Tokyo mwaka 2020.
Wanariadha kutoka Afrika Mashariki wametawala mbio za Marathon katika mashindano ya Olimpiki katika miaka ya hivi karibuni. Masuala kama vile miili yao na mazoezi wanayofanya katika maeneo ya juu katika eneo la bonde la Ufa huchangia pakubwa ushindi wao pamoja na chakula wanachokula
Eliud alituambia, mlo kamili ndio nguzo kwa wanariadha katika kujenga tasnia yao.Inabidi ufanye kazi kwa mikono yako kwa kila kitu ili uweze kupata nguvu ya kushindana na kushinda.
Duniani ambapo wachezaji wazuri wanategemea sayansi ya chakula na virutubisho, ni muhimu kukumbuka kula vyakula asili na visivyokuwa na mchanganyiko mwingi.

Tulipata matokea ya idadi ya kalori zilizotumika kwa kutumia swali linalouliza kuhusu jinnsi chakula kinavyosagika wakati mwanariadha anapokimbia{ MET}. MET moja ni sawa na nguvu ambazo mwanariadha atapoteza akiwa amekaa , mbali na kwamba kukimbia mbio ya Marathon kutalazimu kutumia MET 19.8. Ili kubaini ni kalori ngapi mwanariadha atapoteza tutafanya hesabu ya MET na uzito wa mwanariadha kwa kilo pamoja na muda aliotumia kwa saa. Kwa upande mwengi, ukiangazia rekodi iliovunjwa na Eliud Kipchogem tutaiga hesabu ya MET alizotumia kukimbia mbio hizo 19.8 na kuweka mara 58 amabo ndio uzani wake kwa kilo pamoja na muda aliochukua katika mbio hizo kuanzia mwanzo hadi mwisho kwa saa 2.02. Hiyo inatupatia 19.8*58*2.02 = 2,320 kcal. Ili kupiga hesabu ya kalori katika chakula na soda, tunatumia Jdwali la kenya kuhusu chakula 2018 kulinganisha . Nguvu inayotolewa na kila chakula huongezewa kalori 10
Editorial production by Tural Ahmedzade, Leoni Robertson, Johannes Dell and Roberto Belo Rovella. Field production by Muthoni Muchiri, Gloria Achieng and Njoroge Muigai. Design by Sean Willmott, Olaniyi Adebimpe and Maryam Nikan. Technical production by Marcos Gurgel, Shilpa Saraf and Sally Morales. With thanks to Dr Justin Roberts, Health and Exercise Nutrition Associate Professor, Anglia Ruskin University.